Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
-
- #21
Izi ishu za kupika pika zinanikera sana kiukweli maisha yangu nakula mgahawani sabu nkitoka mishe zangu nmeoga nmelala na hii ishu itaniponza kuoa mapema
Tabu tena si ndio umfundishe nae awe mtalaamu.Napenda kupika sana nikishindaga home lazima nipike vitamu mahanjumati na nipo vizuri, mwanamke atakaeolewa na mim kama hajui mapishi atapata tabu sana.
katika kitu ambacho siwez fanya ni kupika masaa mawili mpaka matatu afu nakula kwa dkk 10 shenzii kbsKwenye mapishi pia nami nipo ila unabidi uwe na muda wa kutosha kusubiri msosi...
Masaa matatu una pika nini mkuu??katika kitu ambacho siwez fanya ni kupika masaa mawili mpaka matatu afu nakula kwa dkk 10 shenzii kbs
hahahahaha kula kw mama ntilie jau sana tunakula basi tu kusogeza sikuMasaa matatu una pika nini mkuu??
a labda una pika maharage, Ata hivyo sisi maharage tuna pika kwenye chupa ya Chai usiku kuamka siku ya tukio kama ume panga kula maharage kitu ambacho kina Nipa shida ni kula migahawani napenda kupika mwenyewe geto
Unapikaje maharage kwenye chupa ya chai?Masaa matatu una pika nini mkuu??
a labda una pika maharage, Ata hivyo sisi maharage tuna pika kwenye chupa ya Chai usiku kuamka siku ya tukio kama ume panga kula maharage kitu ambacho kina Nipa shida ni kula migahawani napenda kupika mwenyewe geto
AjabuAtapata tabu Kwa nn
Mtaalam mmoja alisema, unasafisha vizuri kiasi cha maharage unayotaka kupika kwa siku hiyo kisha unataweka katika chupa ya chai. Unachemsha maji yachemke kabisa kama chai kisha inayaweka ndani ya hiyo chupa yenye maharage na kufunga mfuniko wake vizuri.Unapikaje maharage kwenye chupa ya chai?
Mvivu namba 1 Mimi hapa..enzi hizo naanza maisha vyombo naosha ninapotaka kupika , basi shemej yenu alikuwa akija gheto .anapitiliza moja kwa moja kuosha vyombo vyooote panakuwa pasafiiii ..alaf namwambia pumzka..naingia jikoni ....alikuwa hadi anajiramba....ila yeye akiingia jikoni huwa huwa nakula mpk navimbiwa....yuko htr Mara 1,000,000 zaid yangu...Ishu sio kupika. Kuosha vyombo baada ya kula.
Champagnee mkimaliza kikao chenu mtuambie wangapi kati yenu mko single tuchague wachumba [emoji851][emoji851]
Mvivu namba 1 Mimi hapa..enzi hizo naanza maisha vyombo naosha ninapotaka kupika , basi shemej yenu alikuwa akija gheto .anapitiliza moja kwa moja kuosha vyombo vyooote panakuwa pasafiiii ..alaf namwambia pumzka..naingia jikoni ....alikuwa hadi anajiramba....ila yeye akiingia jikoni huwa huwa nakula mpk navimbiwa....yuko htr Mara 1,000,000 zaid yangu...
katika kitu ambacho siwez fanya ni kupika masaa mawili mpaka matatu afu nakula kwa dkk 10 shenzii kbs