Bishanga sikubaliani na wewe, i always go for experience,ya nini bana nianze kutoa twisheni,kwanza huo muda ninao na mambo yenyewe ya kuvaa mikondom wakati nonino zenyewe mpaka zipigwe jeki kwanza,kha! mimi ni wash n go bana.
Mtatusaidiaje kujibu na wakati 2po?women are emotional oriented wakat men are physical oriented hapo ndipo 2napotofautiana sana kwnye mapenz!wanaume wengi hawapendi wanataman ndo mana wanaangalia hizo physical feature women 2napenda kwa kumaanisha in most cases na tunapenda those men wanaojua kuonyesha mapenz,we want men who will love,care,adore,cherish,respect and make us happy!hayo ya physical hua hatuyaangalii sana!
Mi napendwa mwanaume bikra.
mi sijawai ka vipi ni pm nataka niwe mwanafunzi wako unifundishe
Huwa unamjuaje mwanamme bikra?
vua hiyo boxer nikuelekeze.
Hapo hunikosi kwa ofa hio :violin:Dah..i prefer an EXPERT! Its supposed to be fun...Not a training ground yani mtu anaanza ku refer kwenye sex tapes na imagination zake.. Naaah...!!
Hapo hunikosi kwa ofa hio :violin:
mi sijawai ka vipi ni pm nataka niwe mwanafunzi wako unifundishe
Dah..i prefer an EXPERT! Its supposed to be fun...Not a training ground yani mtu anaanza ku refer kwenye sex tapes na imagination zake.. Naaah...!!
Utapotezwa!Mi napendwa mwanaume bikra.
Ya kazi gani? Nimchukue mchuchu,usafiri wangu,dinner karambezi sea cliff juu yangu,chumba dola mia mbili double tree masaki nilipe mimi,bado tuingie chumbani nianze kuhangaika kumvua kufuli? For what? Mi nikisha ingia migharama yote hiyo yaliyobaki kazi ni kwake,mi wajibu wangu ni kulala chali na kufunga macho,basi.Hivyo wewe hushiriki kwenye hii mijadala ya ubikira! Utaachwa nyuma wewe!
Fungua hiyo thread tujimwage.Nadhani hapa subject sahihi ingekuwa; Baadhi ya wanaume tunatamani hivi, Je wanawake wenye tabia za kutamani kama sisi vipi?
Just some suggestion..
hiyo sana kwa wanaume wanaotamani ,ndio utangali muonekano but ladys wako tofauti , tunangalia matunzo, mapenzi, ushirikiano, sio the way u are,,
Ya kazi gani? Nimchukue mchuchu,usafiri wangu,dinner karambezi sea cliff juu yangu,chumba dola mia mbili double tree masaki nilipe mimi,bado tuingie chumbani nianze kuhangaika kumvua kufuli? For what? Mi nikisha ingia migharama yote hiyo yaliyobaki kazi ni kwake,mi wajibu wangu ni kulala chali na kufunga macho,basi.
Hilo swali ulilowauliza wanawake nawaachia wao wajibu,nitazungumza kidogo sana kuhusu wanaume,umesema wanaume "tunapendelea",ni wanaume wa wapi hao?Kama hujui nakufahamisha kuwa wapo wanaume wengi sana hawana habari na hivyo "viteenage" kwani vinaboa sana!