Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Wote tunajua jinsi wanawake wanapenda kusifiwa, lakini katika harakati zangu za kusaka maisha huku na kule nimegundua wanaume wengi wanapenda sifa zaidi, tena wakati mwingne wanatafuta sifa kwa nguvu!
Bila shaka unaelewa watu wanavyojipa kazi za ziada kwa mabosi /maofisini ili wasifiwe.
Story za "kuchakata mbususu" zote zinaandikwa na wanaume (kutafuta sifa), hakuna mwanamke amewahi kufanya huo upuuzi! Yaani aje aseme "leo nimechakatwa"?!
Tena mwanaume akisifiwa anapagawa! Kama unawatumishi wa kiume, uwe na tabia ya kuwasifia sifia uone watakavyocharika![emoji3]haihitaji kuwasimamia.
Kiufupi; siku hizi wapenda sifa ni ME.