Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
ndo maana tukipata tuna tafuna mpaka mashavuUkimuona mtu anajitafunia vyake usione kavipata kirahisi rahisi tu,hakika wanaume tunapitia mengi sana kwenye mitongozo
Unaweza kutuma msg 40 hakuna inayojibiwa hata moja ila tunapambana tu[emoji23] [emoji23]
View attachment 796402
Hahaha wanakujaHuyo niwanaume wa dar bila shaka
Unasimamia kucha mzee babando maana tukipata tuna tafuna mpaka mashavu
hehehehe
Wanajua kuwa wewe ni mke wa mtu?Mm nina wengi ambao sijibu sms zao nikiweka hapa screen short ahahahaha itakuwa maajabu alafu kama mapopoma week haujibiwi sms unaendelea tu hahah kama zwazwaaaa
Haha jibu tu bana,tuma hata vi emoj[emoji23] [emoji23]Mm nina wengi ambao sijibu sms zao nikiweka hapa screen short ahahahaha itakuwa maajabu alafu kama mapopoma week haujibiwi sms unaendelea tu hahah kama zwazwaaaa
hakuna kitu kby ka ichoHaha jibu tu bana,tuma hata vi emoj[emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha jibu tu bana,tuma hata vi emoj[emoji23] [emoji23]
Wengine hawajuiWanajua kuwa wewe ni mke wa mtu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akikupata hiyo papuchi lazima uifunge feni[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 796410
Haijalishi..watu wanaimbisha tuWanajua kuwa wewe ni mke wa mtu?
Kama mwandko wa Mshana vile..Wanaume bhn wanaboa haujibiwi sms unaganda tu kutuma ingekuwa mm ndo mwanaume namfata demu ambaye hajibu namzaba vibaoView attachment 796417
Hao wako ni wahuni tuu, kila txt anawaza kukulana!Wanaume bhn wanaboa haujibiwi sms unaganda tu kutuma ingekuwa mm ndo mwanaume namfata demu ambaye hajibu namzaba vibaoView attachment 796417
Huyo niwanaume wa dar bila shaka