Wanaume tunapitia mengi sana

Sasa
Ukimuona mtu anajitafunia vyake usione kavipata kirahisi rahisi tu,hakika wanaume tunapitia mengi sana kwenye mitongozo

Unaweza kutuma msg 40 hakuna inayojibiwa hata moja ila tunapambana tu[emoji23] [emoji23]
View attachment 796402

Sasa kwanini usi delete hiyo namba kwenye simu yako ili kuondoa stress.mimi huwa nafanya hivyo.wanawake wako wengi sana aisee
 
Sasa

Sasa kwanini usi delete hiyo namba kwenye simu yako ili kuondoa stress.mimi huwa nafanya hivyo.wanawake wako wengi sana aisee
Inaonekana huyu Demiss ,mganga Mshana Jr kampa kitu cha mvuto si bure
 
Inaonekana huyu Demiss ,mganga Mshana Jr kampa kitu cha mvuto si bure
Wakati mwingine shida iko kwa huyo huyo mtumaji texr.anaonyesha ana vi element vya kutojiamini.msichana wa kiwango hawezi jibu text za hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…