wanaume tunatofautiana

wanaume tunatofautiana

Aliyekuwa analia ni mwanaume wa Kolomije bhana! Dar yenyewe kaingia hata daraja la Manzese limeshajengwa !!!
 
Msukuma mwenzio huyo.

huyo Mwanaume wa mikoani kama wewe
 
Bashite hawezi kuwa mwanaume wa Dar.
Ameingia mjini kwa mbwembwe na sasa analia
 
Kibao kikigeuka msianze kulialia.
 
Wakuja alikuja. Wakuja ataondoka.
 
Kicheko cha nje hakiashirii yaliyopo moyoni. Usiusemee moyo wa mwenzako
 
Back
Top Bottom