Wanaume tunawavumila ila kila nyakati mnaboa sana

hizo ni hisia za kusadikika ila ukweli nadhani umeupata
 
Huyo anayescore 30 kwako kwa Housegirl na mabaa made anascore 90 hadi 100 na zaidi.

Tafakari chukua hatua

Nakubaliana na wewe,

Hii biashara ni purely joint venture...Kama kuna mtu anakaa kando akitegea kumwaga lawama kwa mwenzake basi hiyo ni rahisi sana. Ila ajue kuwa naye ana 50% share za lawama hizo!!
 
ukimaliza nifunike nao wanalalamika?

mkuu umenikumbusha dada m1 ni doc niliwahi kumtania kwamba,ukiolewa aafu umetoka kazini umechoka ucku na jamaa anahitaji utafanya nn? Akanijibu NTAMUACHIA AAFU NAMWAMBIA UKIMALIZA NIFUNIKE! Nimecheka!
 
Mi ckuelewi bana kwanza!- ROMA MSANII KAKAMATWA ARUSHA NA POLISI: y,y,y? Nimechoka mimi hatakama hili c-o jukwaa la siasa! Kwish
 
Kweli, ngoja nianze kufanya mazoezi sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…