Wanaume tunaweza tukiwezeshwa pia tuwezeshane

Visacard

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2017
Posts
233
Reaction score
218
Sisi wanaume sio wote wamepewa uwezo wa kiume

-Wengi wamekwama

-mitaji. hawana

-njia hawajaijua

-wanaume tuwezeshane kiuchumi

-wanaume wa tanzania tunaweza zaidi

Natafuta wa kuniwezesha kiuchumi nivuke


uwiiiiiii who is serious??

Kwa mimi wa arusha mjini huku ni taasisi ipi nzuri kwa kupata mikopo midogo kwa ss vijana wadogo tunaojaribu maisha??
 
Mwanaume pambana, mambo ya kuwezeshwa waachie wanawake
 
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe. Idharau aibu ufanye kazi yoyote halali kwa bidii huku ukijiwekea malengo ya kupata mtaji. Sio lazima uanze na mtaji mkubwa sana.
 
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe. Idharau aibu ufanye kazi yoyote halali kwa bidii huku ukijiwekea malengo ya kupata mtaji. Sio lazima uanze na mtaji mkubwa sana.
Nalo neno
Kwema mwanakwetu
 
Anza kidogo kidogo
Then kachukue mikopo, unapambana kiaina. Ila kama ipo sehemu ya kusaidiwa usisite kutafuta msaada achana na kanuni za wanaume hawasaidiwi utakufa njaa. Ilimradi msaada usiambatane na masharti ya ajabu ajabu. Au usidhalilishe utu wako na uanaume wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…