Martyna aliwapanga kama perege??
Ifuatayo ni sehemu ya sms niliyoiona kwenye simu ya rafiki yangu jana jioni:-
MESSAGE:- Amini kwamba ni wewe pekee uliyemo ndani ya moyo wangu.
RECIPIENTS:- Amina, Chiku, Rose, Conso, Asha, Mwajey, Ester, Eva
Jamani kama kweli mwisho wa dunia kutakuwa kuna moto, nadhani asilimia 90 ya wanaume wataungua na kubaki majivu.
Kama kweli siku ya mwisho kutakuwa na moto, atapona Jsaudi tu. Wengine wote manzi ga nyanza!!
Martyna aliwapanga kama perege??