Pre GE2025 Wanaume tuwaunge mkono wenza wetu watakaogombea nafasi za uwakilishi uchaguzi mkuu

Pre GE2025 Wanaume tuwaunge mkono wenza wetu watakaogombea nafasi za uwakilishi uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Kushiriki siasa ni haki ya kila mtu, bila kujali jinsia. Wanawake wana mchango mkubwa katika jamii, na ushiriki wao katika siasa huleta uwakilishi wa kina na maamuzi yanayojumuisha maslahi ya wote.

Kama mume, kumruhusu au kumsapoti mke wako kushiriki siasa ni njia ya kuonyesha usawa na kumtia moyo kufuata ndoto zake. Pia, kuna faida nyingi kwa jamii na familia ikiwa wanawake watahusika zaidi katika maamuzi ya kisiasa.

Au wazee wenzangu mnasemaje?

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Kama umemchoka muunge mkono akishapata wewe itakuwa ndio imeisha
 
Back
Top Bottom