Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Comment chungu na real tangu jf iundwe,na hii ndo mindset za watu wengi ...tatizo ni kui express ndo kipengele
 
For an average of a girl who has lost her virginity in early 2010's mpaka sasa na bado hajaolewa mpaka sasa unadhani atakuwa amepitia mahusiano na watu wangap.
Tuongee ukweli kidogo
 
Naku support 100%,na binti zangu ntawalea katika misingi hii..
 
Kuwa busy haimaanishi ume win conversations. All you do ukizidiwa arguments una kimbilia kusema ujinga mara nini [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]. Mjinga mwenyewe
Kumbe upo kushindana??
Sikulijua hili!!
Mjinga wa kwanza ni wewe unayepigia umri wetu ramli,,endelea na assumptions zako na approximation za umri wetu
 
Tunaovuta bangi ndio tunaongoza kwa kuoa .[emoji23]
Bangi halafu zinawavuruga, embu tizama wale wapiga debe kwenye vituo vya daladala, anapiga huku anasinzia wakati mwingine mpaka konda anaondoa gari akishtuka kulikimbiza anashindwa anaishia kutukana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhani kama hoja ya umri ina matter sana. Tabia za mtu na kuwa na umri mdogo au mkubwa si hoja ya msingi. Maana tunajionea wazi, watoto wa miaka 18 ni watu wazima kuliko wazazi wao. Yaani mtu kapitia mambo ambayo hata mzazi wake hajapitia.
Dunia ya sasa imebadilika. Ukipata mtu mwenye tabia njema, akiwa na miaka 23 au 30, mshukuru Mungu sana.
Wenye miaka iliyoenda wengi wanaona upuuzi kupoteza muda kwa kufanya mambo ya kijinga wakati watoto wanaona bado wana muda mwingi wa kuchezea na vice versa.
Pia ndoa za siku hizi wadada wengi wamepoteza interest sana. Na hii ni baadhi ya wanaojielewa na wanatazama future.
Kiukweli kwa maisha ya sasa, 23 bado anasoma. Akiacha kazi akimbilie kuolewa, je wanaume mna ubavu wa kumkubali kumuhudumia kwa kila hitaji lake? Najua ni wachache sana.
Wengi watamuona binti hana akili, ni mtu asiye na future, hana msaada hata inapotokea tatizo na dharau nyingi tu.
Mwisho mdada ataona ndoa chungu. Ila hatokuwa na pa kukimbilia. Atakuwa mtumwa maisha yake yote.
Tuacheni tujijenge jamani. Ndoa kama ipo ipo tu. Ukiwa na 20 au 50, its does not matter. What matters ni kufika malengo yako uliyojiwekea.
Kama malengo ni ndoa, go for it, kama ni kutengeneza kampuni do it, kama ni kusoma fanya hivyo.
 
[emoji106]
 
Pia kaa mbali na mwanamke ambae aliolewa kisha akaachana na mmewe, tena awe kwenye 30-45.

Usicheze kabisa na hisia zake, akikupenda amekupenda kweli.

Ndoa ni kitu kingine kabisa kwa hii jinsia aiseee.
mishangazi iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…