Wanaume tuwe makini na tusikurupuke kufanya mambo yatakayowaumiza wenza wetu

Roca fella

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
2,077
Reaction score
4,152
Asubuhi mapema saa 1 ulizuka ugomvi mkubwa kati ya mume wa mtu na Malaya wake aliye mkodi kwa huduma ya ngono, ugomvi huu ulihusu malipo ya pesa baada ya huduma kutolewa vyema ipasavyo usiku mzima.

Ugomvi huo ulipamba Moto mpaka kufikia hatua ya kuleta mkusanyiko wa majirani na wananchi kwa rika tofauti tofauti, kushuhudia ugomvi, hii ni aibu baba wa familia, mume wa mtu, mfia dini , analeta Malaya nyumbani kwake, ameshindwa kuvumilia kwa muda mkewe arejee nyumbani, au Basi angeenda kulala na kahaba huko kwenye danguro zao.

Hiki ni kipindi kilicho pita takriban miaka 9 nyuma, rafiki yangu wa enzi za sekondari. Ananipa habari yaliyo mkuta baada ya kupoteana kwa muda mrefu na tukikutana, tena moja Kati ya majiji nchini Tanzania, huyu Bwana alioa mke na ana watoto 3, kipindi mkewe yupo mbali na nyumbani kikazi, na watoto wake wapo shule za bweni.

Huyu mwamba uvumilivu ulimshinda na nyege zilimzidi akavuta Malaya nyumbani kwake atoe sumu, ajiweke fresh kiafya, Sasa shida huyu mwamba alizingua kwenye muamala kutoa, kahaba kapanda dau anataka Dow zake, huku mchizi boat amekaza Bei elekezi ya hapo awali, Basi umati ukatia mguu kushuhudia kwa jirani kunani.

Kinyonge mchizi boat akamlipa kahaba kuondoa nuksi, kumbe wakuda washatoa photo na ku-summarize tukio, mkewe na ukweni habari zilifika mashahidi wakafanya kazi yao, mkewe aliumia Sana aibu kubwa hii kwa familia, ilibidi ndoa ivunjwe kigai gai.

Mwamba huyu akavunja ndoa yake, kashusha heshima yake, kaharibu utu wake, sifa zake, thamani ya familia yake, kajitenganisha.

Wanaume tuwe makini na hao wanawake, tusikurupuke kufanya jambo la hatari dhidi yao. Hasa wanaume wenye ndoa katika harakati za kuchepuka.
 
Huu ndio ubaya wa kuwajua Malaya ukubwani kwani huyu jamaa ni msukuma?
 
Hii ndio picha ya Malaya?
 
Back
Top Bottom