STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Jamaa usiku wa kwanza kulala na mkewe baada
ya harusi akaamua amuulize swali asubuhi yake:-
Jamaa: Mpenzi wangu umewahi kulala na
wanaume wa ngapi kabla ya kuolewa na mimi?
Mke: Wote walikiwa hawalali maana usiku ilikuwa
shughuli tu, yaani wewe ndio wa kwanza tumelala mpaka asubuhi
Jamaa akazimia pale pale