Wanaume Tuwe Tunaangalia Na Maswali Ya kuwauliza Hawa Wanawake

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Jamaa usiku wa kwanza kulala na mkewe baada
ya harusi akaamua amuulize swali asubuhi yake:-
Jamaa: Mpenzi wangu umewahi kulala na
wanaume wa ngapi kabla ya kuolewa na mimi?
Mke: Wote walikiwa hawalali maana usiku ilikuwa
shughuli tu, yaani wewe ndio wa kwanza tumelala mpaka asubuhi
Jamaa akazimia pale pale
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bwana unakaribia kuwa mkufunzi wa masuala ya haya.....na hapa lazima uwateke vijana....
 
Safi sana akizinduka una mwambia wakati umezimia kuna mwenzio kapiga cha fasta kaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…