Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
craaaap...craaaaap....
Husninyo Ngabu
Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.
2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe
Yaani unapenga kamasi na kujifuta jasho halafu unaweka kitambaa mfukoni?
Thats nasty.
kwani hotelini tuuuuuuuuu..yaani hapa kuna mkwe wangu ansukutua mdomo kwenye sink dining rooom,,,,naskia kumfikuza...hebu nipeni advice lol!!!
njoo UNIKAGUE bas...m waitng beb!!!!!
NN huku nylon filaments au zile plastic ribbon zinazotumika kutoa masalia ya chakula na dental plaque kwenye meno sidhani kwanza kama watu wanazitumia au wanazijua kama wapo ni wachache, watu wamezoea toothpick kwa kwenda mbele lol!!
Unasema hizi.....
Hizi comments ingebidi azitoe mwanamke...nakushangaa wewe lidume lizima unaponda midume myenzako!!Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.
1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo
2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe
3. Una Soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.
4. Unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa Kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu
5. Unafanya kazi Gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na Grease za gereji inakuwa sawasawa na Ziro
6. Unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.
7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!
8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.
9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.
Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "udume" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.
Haaaaaa Kwani uongo hamfutuhi lol
jamani hata wanawake wachafu wapo wengi sana, kuna nyumba moja nilingia hiyo nyumba wanaishi wanawake wa familia moja.
Kwenye uwa wa nyumba hiyo wameanika nguo kwenye kamba nilichokiona ni chupi za wanawake zimefuliwa lakini zimechoka sana sehemu ya katikati zimebadilika rangi, chupi nyeupe katikati ina rangi ya blown...lol...
Hiyo nasikia ni dawa ya kuua mbu
ndugu acha tu...najifanya nainama chn napandisha soks ili nisiwe nae sambamba ili arufu isinipate manake nikismama nae tunalingana so pumzi zoooote puan kwangu..bas nikawa tu naishia ahh admau jaman wewe..yaan admu jaman ngoja nimuwai mwalimu. ..ata nikimwona mbali najifanya admu mamboo....?ili niwe nshamsalimia na ivyo asinifate kunihug
Mkuu kwenye hateli masink huwa yako WC, huko ndo haswaaa kunako fanyika usafi huo unaoutaka.