Wanaume unene sio mzuri kwenu. Kwani ukinenepa sana matokeo yake ndo unabaki na kibamia

Kikubwa kina uwezo wa kukojoa na kutoa mkojo nje, hata siwezi kujipa stress za bure.

Timu Le kokobanga tusikate tamaa, kikubwa maisha yanasonga tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
yawezekana ukawa na rambo
 
Kwa hiyo dada unadhani maisha yanaishia unapowaza wewe?Kuna wengine maumbile yao yako hivyo na hawawezi kubadili chochote.Kama hakuna anayeweza kuvumilia,bado maisha yanaendelea.
 
Fanya hesabu rahisi hii hapa dada:1. MWANAUME MNENE+KITAMBI=KIBAMIA=MIHELA
alternatively:2. MWANAUME MWEMBABA BILA KITAMBI = MTARIMBO LAKINI NO MONEY
kati ya namba 1 au mbili utachagua mwenyewe na elewa tu "baniani mbaya kiatu chake dawa"
 
Mazoezi + kula vyakula ambavyo mwili unataka ie Dona ,mbogamboga,tikiti maji(natural viagra),Parachichi ,vitunguu saumu ,Mihogo mibichi(unakuwa una sperms nyingi hadi ushangae hubanduki kiunoni,sio unakojoa mfano wa kijiko,kojoa litre moja),Spinachi(ni zaidi ya mbogamboga inaimalisha hadi mishipa ya uume),Aloe Vera chemsha majani kunywa supu yake ,(sio kula vyakula ambavyo wewe unataka ie Chipsi waachie wanawake ,usile Sembe tafadhali,soda hatari,Bia au pombe ,Sigara )
 
Kwani kuna mashindano ya kukojoa na kuridhisha wanawake?Mungu mwenyewe hawajaridhika naye itakuwa wewe?
 
Ukiwa na hela unaita kibamia lakini mwanamke hakukimbii maana hela ipo. Bora tutafute hela tuwe na vibamia na wanawake wanatukimbilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…