Wanaume:utajisiakiaje.......

lipa pango, kula mzigo!! sioni cha kuuliza

kumlipia pango sio ishu,lakini huoni kama hapo hakuna upendo ila kinachozingatiwa ni pesa?na je huoni hiyo ni sawa na kununua penzi?ina tofauti gani na kununua madada poa?
 

aisee Nakapanya katika vitu ambavyo sipend kutoka kwa mwanaume awe ni mume wangu ama hata ni mashtuzi kama mzinga aisee. yaani asbh naamka naomba nauli ya kazini dear??? uwiiiiiii bora nisiende kazini iyo siku ntafute hela. yanini kujidhalilisha?? wewe kama mume wajua familia yapaswa kuish vyema just give pasi kuambiwa na acha kabisa matumizi ya mwez adiri ya bajeti ya nyumba yako.

wewe wa mashtuzi stress kwako miye na wewe tunassume tuko peponi tu usinipige mzinga wala nisikupige na siku ukiona unadhiki hadi miguuni usintafute na mimi nikiwa hivyo sikutafuti so heshma mbele. ni upumbavu san akutegemea wanaume hasa kwenye hela.
 
Last edited by a moderator:
Lakini pia Nakapanya kuna kitu kimoja sku hizi wanawake njia nzuri ya kunfukuza mtu usiye mtaka ni hii unampiga mzinga mtakatifu kabla ya kuvunja amri basi lazima ale kona tu hata iweje na hapo najua fika hutoweza kurudi manake kama umeshindwa kumpa wafikiri atakuelewa?

nilishawah kuapply njia hii and it worked nia ilikuwa kujiondolea shombo so i proposed big amount of money alipoona maji marefu he kept quite na mimi i kept shush so auto akawa amejiondoa kwangu. sasa kama mtu unamwambia hakuelewi mpaleke chaka tu ivo ivo.

so jiangalie kama kweli alishawah kuonyesha kutokukutaka basi hii ndo njia ya kukufukuza.
 
Last edited by a moderator:

hiyo imewahi kumtokea rafiki yangu,ila kwa huyu demu hajawahi kuonyesha kwamba namtia shombo.Halafu vp kama unapotaja dau hilo kubwa ili kumkimbiza mtu afu akatoa na kuamua kukung'ang'ania utimize ahadi?kwa wale walio kwenye ndoa mi sidhani kama ni kosa kumuomba mwenzi wako pesa kama umeishiwa lakini isiwe ndio tabia yako,yani uwe nazo unaomba,usipokuwa nazo ndio matatizo zaidi.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin, mimi huwa nafanya umachinga ili nisiwe mzigo kwa mwenzangu. Kama huwezi hata kuuza nyanya ili mwenzako nae apate pumzi na hela yake sijui tunataka kuwa wanawake wa aina gani. Ila hii omba omba ya wanawake sometimes ukiichimba sana utakuta wale walioumizwa na walikotoka ndiyo wanakuwa na hizi tabia, nikimaanisha;alitumia hela yake nyingi labda kumservice mwanaume wake end of the day akaingia mitini bila kumpa chochote akipata mtu analipiza. Nahisi kama tunakosea vile. Huwezi kumfananisha kila unakuwa nae na ulikotoka.

Wanawake tufute ujinga wa kuomga na kupiga mikuki isiyona sababu. Ebu jifunze kutoa uone kama hutapokea. Toa kwanza aone mfano nae atatoa tu kwa hiari yake.
 

ni kweli si vema kumtegemea mwanaume kwenye hela,lakini vipi kwa wale ambao hawafanyi kazi yaani ni mama wa nyumbani tuu?hapo wewe umeonyesha msimamo labda kwa vile unafanya kazi na kujipatia kipato chako binafsi,vp ungekuwa huna kazi inayokuingizia kipato?
 
Last edited by a moderator:
Sasa si mpaka uwe na hiyo hela...usipokuwa nayo je??
 

wanawake na wenyewe ni wajanja wanaangalia na mtu mwenyewe manake kama siku mbili tatu umetoka na mtu lunch ama dinner inatosha kujua kwamba mkono wake ni mrefuje na wewe hapo hapo ndipo unapocheza napo. kama ktu mkitoka anakugharamia laki kwanini nimpige mzinga wa laki piga wa m5-10 manina wallah mwenyewe anapiga chini na wewe kiulain unakaa pambeni.

hata wenye ndoa matatzo makubwa ya famili ni juu ya hela asikwambie mtu. so kuombana hela kukizid yaani laazima mkwaruzane tu ni afadhali upige bajeti kwenye ile ya matumizi upige panga hata la mafuta ya gari full tank kuliko kumwambia kabisa naomba niekee mafuta ya kuendea job. zipo akili nyingi sana za kuipata hela ya mume pasi kumwambia direct. manake mfano niki overestimate gharama sijapata cha juu? chezeya akiali ya kike wewe? yaani kwenye ndoa wenzio huwa tunasubiri kupewa ama kutoa kwa kupenda na wala si kwasababu tumeomba.
 
Mara nyingi wanawake wengi wa hivi hawaombi hela kwa wapenzi wao wa ukweli, huwa wanaweka masharti kama haya kwa wanaume wa kupita. baadhi ya wanawake wana hii tabia.
Ni kama wanaume wanao-ogopa kuoa wanawake wanaovutia sana,wanaoa wanawake wa kawaida halafu wanakuwa wana-cheat na hao wanavutia sana. Vilevile kuna wanawake wanaishi na wanaume wanaowapenda ingawa hawana hela, halafu wanafanya haka kabiashara na wanaume wa nje wenye hela.
 
sio deni pesa hiyo kamnunulie mama yako mzazi chakula upate siki nyingi za kuishi katika nchi upewayo na Mungu wako hilo li janajike achana nalo
 

na hicho ndo kitu ambacho mimi nakipinga usiseme eti mimi mma wa nyumbani uliazaa nyumba kwani???? cheza basi upatu hata wa 500 kwa siku. weka kwenye kibubu uza ice cream na karanga na ubuyu hapo ndani ili upate hela yako binafsi.... aisee fuma basi vitambaa ama finyanga hata midoli uuze lol!

ukisema miye mama wa nyumban kutwa nzima unakesha kutizama filam za kanumba na unapata kila siku buku ya kukodisha ni upumbavu wala sikuonei huruma. nenda vijijini uone jinsi akiana mamawanavyohangaika ili kupata kipato lakn wa humu mjini wamekalia carolight na bongo movies imekula kwao aisee.
 


Maana yake ni kuwa anauza huo mwili wake. Ukiona hivyo ujue pia mpo wengi mnaofanyiwa mchezo wa namna hiyo binti analipiwa pango na mtu zaidi ya mmoja ni biashara aisee.
 
kumlipia pango sio ishu,lakini huoni kama hapo hakuna upendo ila kinachozingatiwa ni pesa?na je huoni hiyo ni sawa na kununua penzi?ina tofauti gani na kununua madada poa?
inategemea!! unahisi huyo dada anakupenda kweli, inawezekana hakukupa mwanzo maana alikuwa anajaribu kulipia mwenyewe. aliposhindwa ndio akaja kwako, approach yake ni mbaya maana ana-assume upo naye just for sex, just mlipie halafu muulize kama anaupendo kwako. wengine wanabana penzi kutokana na stress za maisha, dada kabugi step lakkkini sidhani kama hakupendi
 

kwahiyo hapo ni akili ya kijana kujipima napendwa mimi ama inapendwa pochi? akishalijua hilo aamue yeye. sioni sababu ya kuendekezana kutunzana kabla ya kuoana hata siku moja na ni sawa na mtu anayemsomesha mwanamke eti siku aje amuoe mfano hai tunaona kila siku humu jamvini. sasa huyu kamlipie kodi ya pangi kisha utashuhudia kifua chuma mwingine akilala huko wewe ukikazana na kodi
 

Unawazibia watu rizki wewe........ngoja siku moja wakumwagie tindikali ndio utashika adabu
 
wanawake wengine wana macho makavu. Hivi unaanzaje kuomba hela as if ulimuwekesha. Mungu aniepushe na huo wizi. Inatia kinyaa.
unalisoma hilo lijamaa unaona halina mpango na wewe heri ulichomoe hata akikutoa jasho ushafaidi hata kakodi alah
 
Unawazibia watu rizki wewe........ngoja siku moja wakumwagie tindikali ndio utashika

adabu

kwahiyo wataka tuendelee kudhalilika?bora tuambizane ukweli utauma lakini tutatoka mbona humu jf wengi sana tu tumeumizwa na madongo lkn tumepona?
 

duuuuh kwa mtindo huo naomba niendelee kuwepo kwa muda kidogo maana naona ntazeeka na kufa mapema hata kuvikosa vijisenti vyangu vya pensheni.
 
duuuuh kwa mtindo huo naomba niendelee kuwepo kwa muda kidogo maana naona ntazeeka na kufa mapema hata kuvikosa vijisenti vyangu vya pensheni.

unaweza lipia wewe nyumba
yeye akahamia
akikuletea usanii
unatimua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…