Well , hiyo jamii ni jinga.
Kama sura nzuri ni zile zinazong'arishwa kwa poda na lipgloss basi wanalo.
May be may be,may be not!Jamii zote zina mtazamo huo including niliyopo na yako pia!Haya ni matatizo ya kiasili na ya kimalezi ya mwanadamu!
Mi jamani nawachukia wanaume masharobaro hasa wale wavaa hereni, wanyoa viduku na wanaovaa visuruali vichupa halafu wanavishusha chini ya...kama Diamond au THT
You said it all Lizzy.Maana
yake ni hua wanaangalia mtu ambae ni fit, mwenye feature za kiume na
sio sura mbaya. Labda kama hao wanaodai hivyo wanaona sura za kiume ni
sura mbaya.
Acha ku generalize wewe. Sio wanawake wote wanazimia masharobaro.May
be may be,may be not!Jamii zote zina mtazamo huo including niliyopo na
yako pia!Haya ni matatizo ya kiasili na ya kimalezi ya
mwanadamu!