WANAUME v/s masharobaro.....Maumbile yaingilia kati!!!!

Ndio maana mademu wananikimbilia oh nataka niolewe na wewe!! Mmh kumbe kuna jambo
 
ila inaweza kuwa kwel kwn mugabe alivyo ila mke sasa si mchezo
 
Maana yake ni hua wanaangalia mtu ambae ni fit, mwenye feature za kiume na sio sura mbaya. Labda kama hao wanaodai hivyo wanaona sura za kiume ni sura mbaya.
FEATURES ZA KIUME..? unamaanisha features kama zipi Lizzy, ndevu?, sauti nzito, au? Au ulitaka kumaanisha maumbile kama 'kifua kipana', 'misuli' n.k., ambayo yanatengenezeka na sio natural?
 
Utafiti huu utakuwa ni wa kichina tu lazima.
 
Maana yake ni hua wanaangalia mtu ambae ni fit, mwenye feature za kiume na sio sura mbaya. Labda kama hao wanaodai hivyo wanaona sura za kiume ni sura mbaya.

comment ya siku hii,.........ume_comment kwa logic
 
Nijinyamazie maana nina mashaka na sura yangu!
 
Nijinyamazie maana nina mashaka na sura yangu!

Jiamini bana!Ila nina ka swali,hiyo ID yako ulikua unawaza nini?Unajua kazi ya majina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…