Pole mama wala usijisikie mnyonge, wewe ni mtu wa thamani sana katika jamii yetu ya JF. Wala usikasirike sana nikuchukulia mambo kirahisi tu hapa, hii ni sehemu ya kujifunza pia.
Nikirudi kwene topic yako hakuna kipimo cha kuonesha ni watu gani wanoongea sana hizo habari. Kwa sababu habari hizo zinaongelea kutokana pia na aina ya watu na mazingira waliopo wakati huo.
Wanawake tunaweza tukaongea sana hizo habari kutokana na wakati na mazingira na wanaume kadhalika. Kwa mimi binafsi sioni kama kuna kundi linaongelea mambo hayo zaidi ya jingine.
Ila sisi wote tunayaongea, na hata hapa huwa tunaongelea pia, lakini ndo hicho wakati gani na mazingira yapi.