WANAUME vs WANAWAKE

nafikiri kuna majamvi mengi tu humu jamani ukiboreka au unataka kazi mbona yapo tu! kuna mwanaume amesema anapenda kutongoza kila siku nae mbona hamumshambulii? mwacheni naz wa watu ajimwage tehetehe! samahani kama nimewakwaza
 
Wanaume wakikaa pamoja kwenye mabaraza yao na wanawake wakikaa pamoja, je ni watu wa jinsia gani huzungumzia ngono zaidi?
Wote sawa tu hakuna mwenye afadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…