Vipi kwani ulishampa kitumbua?upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
Na wewe kama unajua ni huyo jamaa ni mume wa mtu ya nini kumpigiapigia simu mkome
kasema yupo single eti?
sikuanza kumtafuta mimi kila siku anapiga ila mchana so siku nikaapata nafasi usiku ndo nikamcall ndo ivo kigugumizi kwa saanaPole kwa yaliyokusibu!
Lakini siyo vizuri kuwa wakwanza kuwapigia,,jitajidi kuwa special..watakutafuta wenyewe!
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
Wewe tuko pamojamimi watu huwa wananishangaza sana....hivi akisema kweli utamchinja?......kwani ulimwambia unamtaka?
hata nashangaa preta mi wala sikuwa na time nae kiivo? wala hata nisingemkubali kama hata angenanilii nilimtafuta basi tu kurefresh mindmimi watu huwa wananishangaza sana....hivi akisema kweli utamchinja?......kwani ulimwambia unamtaka?
hata nashangaa preta mi wala sikuwa na time nae kiivo? wala hata nisingemkubali kama hata angenanilii nilimtafuta basi tu kurefresh mind
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
Hukumuelewa alimaanisha hapo alipo yuko single,akirudi nyumbani anakuwa double
Baada ya kumkosa ulimtafuta nani mwingine wa kurefresh mindhata nashangaa preta mi wala sikuwa na time nae kiivo? wala hata nisingemkubali kama hata angenanilii nilimtafuta basi tu kurefresh mind
mi hata simtaki preta, hv kwanini wanaume wengi mchana wanapatikana usiku simu zinakuwa na matatizo? kwani kuoa ni ugonjwa hawataki watu wajue nini?ki ukweli mimi huwa nina tabia moja.....baada ya saa kumi....tegemea simu yangu kesho tena.....kwa rafiki wa aina hii....a a.....
nawajua sana hawa watu....cha kukushauri hapa we mdelete tuu....asije kukusababishia virus kwenye simu bure huyo.....
angesema basi yeye anapatikana mchana tu usiku yupo lindoniwewe una akili sana,lol! kama mbwa wa polisi (ni compliment hiyo eeh..). ndo maana nikamuambia aombe terms of reference manake kuna ofc wanafungua saa mbili ila huduma zinaanza saa nne,lol!
<br />
<br />
Ndio maana hata ukienda kwenye ofisi unakuta kuna tangazo lifuatalo "Working Hours 9:00am to 5:00pm" akili zako changanya na za kuambiwami hata simtaki preta, hv kwanini wanaume wengi mchana wanapatikana usiku simu zinakuwa na matatizo? kwani kuoa ni ugonjwa hawataki watu wajue nini?