SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 338
- 270
Aliesambaza video ya Amber Rutty kumbe mmbea na hajui kupigana anapigwa mpaka na Amber Ruty...wanaume wa Dar mpoje lakini
mzembe sana huyo jamaaNikiwa na ndugu kama huyo napiga risasi kabisa hawezi pigwa kizembe hivyo
daah hatariKwa alivyomkalia lazima mwanaume alegee. Usishangae alivyopigwa!