Unasaka pesa wapi wewe unadiskasi wanaume wa dar tu. Pengine hata dar hujawahi fika wewesijui tuseme ni majob less au ni umbea, au ni malezi, au ni ulimbukeni.. unakuta mwanaume na akili zake ananua gazet la udaku afu anaanza kufuatilia habari ya diamond na zari au wema na idrisa au ney wa mitego na bifu zake za kike kwan ni kukosa kazi au vp wanaume wa Dar wakati wanaume wenzenu wa mkoani tupo bize kusaka maela mishe kibao badilikeni wanaume wa Dar kutwa kushinda vijiweni kudiscas ya wema
Wanatafta umaarufu kwenye migongo ya watu wengineHivi hili la kuanzisha thread au post ya kuwananga "wanaume wa dar" ndio mtu utaonekana mjanja au inakuwaje?
sijui tuseme ni majob less au ni umbea, au ni malezi, au ni ulimbukeni.. unakuta mwanaume na akili zake ananua gazet la udaku afu anaanza kufuatilia habari ya diamond na zari au wema na idrisa au ney wa mitego na bifu zake za kike kwan ni kukosa kazi au vp wanaume wa Dar wakati wanaume wenzenu wa mkoani tupo bize kusaka maela mishe kibao badilikeni wanaume wa Dar kutwa kushinda vijiweni kudiscas ya wema
mkuu mm najua isaka ela arifu mm sikaagi vijiweni wwkijana unakoelekea hukujui na hajui umuhimu wa mitandao jakaya kikwete alisema vijana tumieni mitandao kwa faida,,,,, kama mtu unaamka asubuhi unamuwaza mtu na kuchunguza maisha yake kisha unakikimbilia kupost jf tena saa nne asubuh bado unajiita msaka pesa lazima akili yako itakuwa na matatizo. vijana wengi wanakimbia vijijini kuja kuuza maji dar na wanafanikiwa baadhi wanalea familia mikoani kwa kuwatumia pesa wanazozipata dar huna tofauti na mmbea au msoma udaku.
mkuu mm najua isaka ela arifu mm sikaagi vijiweni ww