Wanaume wa Dar mlio JF mtakao itikia wito wa rc

Naskia wapimaji wanatoka ujerumani. Wana mavidole makubwa kama mihogo
 
Lakini wanaume wa dar wanajua watapima vzr tu kuuga jitihada za mkuu kama wanawake wa dar walivyojitokeza
 
Kipindi cha kukagua silaha baba Jen alienda na akaonesha na kujitangaza, sasa ngoja tuone na kipindi hiki kama ataenda
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kinoma
 
Kwa vijana kati ya 25-35 kupima sio mbaya,

kuanzia 40 kwenda juu ni bora kama husikii tatizo lolote ukauke tu,kwani Tezi dume linachukua hata miaka 30 kuonekana tatizo nna likianza kusumbua tayari uko kwenye 65-80,

sasa ukipekenyua na kugundua dalili ndo uanze matibabu,mara mionzi etc,utashangaa litakavyokupeleka faster faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…