Wanaume wa Dar mna shida gani mpaka mnauziwa hii kitu....

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491

hasa hasa katika makutano ya barabara sehemu zenye mataa utakuta wadada kibao tu na mabeseni yao wakiwa wanauza hii kitu na wanunuzi karibu wote ni wanaume....sasa kwanini chakula hii ni wanaume tu ndo wanunuzi kulikoni....why not also ladies.......
 
Mmh apo uja kutana na ilyo andikwa special for mens kwa pen ya blue [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa na wewe unawaponda wakati hapo na wewe umenunua
 
Wanaume wa dar ni wanatuaibisha sana tukitoka mikoan kwenda dar wao hawana story zaid ya kuulizia dawa za kuongeza acheche
 
chips ndiyo shida. wee mwanume mzima anashindia chips. halafu anasema kabisa zikauke.
ndiyo maana wanalalamikiwa na wake zao kuwa hawawezi kulima mashamba.
 
Wanaume wa mikoani mnaongoza kutoa bikra zenu kwa kubaka nguruwe..[emoji28][emoji28]
 
chips ndiyo shida. wee mwanume mzima anashindia chips. halafu anasema kabisa zikauke.
ndiyo maana wanalalamikiwa na wake zao kuwa hawawezi kulima mashamba.
utalimiwa na jirani......
 
Hayo mapaja ni ya kike au ya kiume? Bado naendelea kutafakari
 
Mi wa mikoan ila nikikutana na hii ki2 nanunua chap kidogo
 
chips ndiyo shida. wee mwanume mzima anashindia chips. halafu anasema kabisa zikauke.
ndiyo maana wanalalamikiwa na wake zao kuwa hawawezi kulima mashamba.
Kuna siku niliwakuta vijana wapo kijiweni wanaelekezana sehemu zenye Chipsi tamu, Nilishtuka sana.
 
Wale wadada wanauza hivo vitu test ni wao wenyewe,chunguza utaona wanunuzi wakubwa ni madereva malori ya safari ndefu wanauza kisha wanapanda kwenda kujaribu anajaribiwa kwenye kitanda kule kachumba ka nyuma akifika kibaha anapewa nauli na malipo anarudi mjini.Ndio maisha yao ukinunua wewe na kapaso kako ni mteja wa nyongeza tu "target"sio wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…