sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Hiii ni aibu watu tuna ndugu ikifika mwezi wa kumi na mbili mnazajazana vijijini tuna washangaa tunawaona wa maana kumbe hamnazo kabisa.
Mtu unaishi dar unamtia mtoto wa kike mimba ila huna uwezo wa kununua Groves ya kumsaidia mkeo kujifungua?
Nimeamini joto la Dar linawasaidia sana vinginevyo hata ndomu hamna uwezo wa kununua.