Wanaume wa Dar mnatia aibu

Hapo kuna MABWANA na WAPAGAZI.... wanaume wa DAR ni MABWANA.... wa mikoani ni WAPAGAZI.... kwn hujaona wakati wa UKOLONI WAPAGAZI wakiwabeba MABWANA? nini cha ajabu hapo?
 
hahaha chief hili ndio wanaitaga povu eeh au mm ndio sijui povu likoje [emoji1][emoji1][emoji1]
 

Na mimi nimeshangaa kama ulivyoshangaa wewe mahondaw wangu...
 
Na hiv leo nna lundo la nguo chafu[emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji28][emoji23] wanaume wa mikoani washamba tatizo....wanataka uingie kwenye matope uchafuke na upate magonjwa
umeoana walivyokuwa wajinga ...hahaaa """

hata umuhimu wa afya hawaujui ""
 
Kama kiatu cha 100K.... Anashindwa kukodi hata tax? Kubebwa mgongoni na mwanaume mwenzio ni ulemavu.. Bora angebebwa na Shishibaby kuliko mwanaume mwenzio... Eti hela anatoa 1000.Wenyehela zao wamepita na mandinga hapo wanawamwagia maji tuu mwaaaaaa
jinga kbisaaaa hiyo TeX inapita wapi paleee na Yale maji yaliyojaaa bara barani ....wewe mgeni wa jiji au '''!? huku Gari huwa zina nock weeweeee""" kisha zinasukumwa na kutolewa katika hayo maeneo korofi """haya niambie TeX ipi "" itakubali kupita kwenye hiyo hali ya dimbwi LA maji !!?
 
Wanaume wa dar wanajua namna yakugawana Ridhiki ...ila wanaume wamikoani yuko ladhi ajichafue wakati anajua anaenda ofisin ....kisa tu buku.....alafu wanaume wa mikoani kama niwachapa kazi waulize hivi mbona awana maendeleo.
 
Kwenye vipindi vya Mvua kama Hivi mwanamke amekunja Kanga Jianaume zima Limebebwa. View attachment 718263
Wenzako hapo tunakua tunaenda ofisini au tunarudi home na huenda unatakiwa upande daladala kadhaa,utaingiaje kwa gari/ofisi na uchafu au umeloa mimaji michafu? Kwa mfano wa picha ya pili unasadifu kabisa hao wachimba madini au wavuvi hata wakichafuka hakuna neno halafu huwa hawapandi daladala wanatumia sana baiskeli a.k.a ganagana hata wakipanda gari washazoea uchafu ndomana kwenye magari yao si ajabu kupanda na mbuzi au wamechanganywa na abiria
 
Huoni huyo Mwanamke mwenye Shungi hapo pembeni anakushangaa.... ...Eti kiatu cha Laki kwanini hukununua chenye Waterproof
 
Kwahiyo Na Hao ambao hawajabebwa wa Pembeni Ni Wavuvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…