Wanaume wa Dar mnatia hasira

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,195
Awa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.

Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et vikawakalisha.Mizee mizima ikachezeshwa ndomboloo ya soloo.Kule Shinyanga,Kishapu, Wishiteleja atunaga ujinga kabisa.Waje waone

Leo jamaa anatolewa macho ,tena mchana kweupe,hadharani.Nyie mnaangalia,eti kisa jamaa mtata.Aisee mnatia hasira.Ngoja Ndalichako anipe cheti changu mi nilud zangu bush kulima mpunga na michembe Tu.

Nimemkumbuka jamaa flani ivi mitaa ya duce pale,alipgwa mkono na kijana mmoja,ile kusimamisha ndinga vijana wakamvaa km4,wakamchana viwembe Sana,jamaa alilowa damu hadi huruma.Ajabu apakuwa na msaada popote,watu walitazama km movie yani.

Bda ya kutokea wahuni,ndo tukazima issue ile kwa kuwakamata baadhi na wengne kukimbia.

Ivi wanaume wa Dar,akznguliwa mbele ya mke/dem/mchumba wke,uwa wanafanyagaje.Au huchukua hatua gani..
 
Tatizo Buguruni Masaki kule Obey Askari wana Patrol usiku mzima huku Uswahilin kwenye maeneo Korofi hawaji mpaka wasikie CHADEMA wanataka kuandamana mutawasema Wanaume wa Dar kila siku halafu Dar tuna ndugu zetu jamani sasa mbona munawasema hivo
 
Ndg wanaume hapa ukienda huko Buguruni wanaume wengi ndo wametokea huko kwenu kishapu,mwanhuzi,maswa nk,tatizo mkija mjini ndo waoga namba moja ujanja wenu mkiwa huko porini tu...huku mkija hata kuongea hamuwezi mnakoromewa na vitoto vidogo tu au labda sababu ya lafudhi mbovu labda.......Nakwambia na ujue waporipori km wewe ndo wanaifanya dar ionekane ya hovyo......jogoo la shamba huwa haliwiki mjini.....ujinja mkiwa huko gamboshi tu.
 
Tatizo Buguruni Masaki kule Obey Askari wana Patrol usiku mzima huku Uswahilin kwenye maeneo Korofi hawaji mpaka wasikie CHADEMA wanataka kuandamana mutawasema Wanaume wa Dar kila siku halafu Dar tuna ndugu zetu jamani sasa mbona munawasema hivo
Kwahiyo mnakubali kuwa mwanaume mmoja anadindishia wanaume wa mtaa mzima? wanaume zaidi ya mia mnahanya mbele ya chalii mmoja kisa anapiga taikondo? Pambafu kabisa, au kwakuwa dar hakuna mawe kwa street ni mchanga tu?
 
hahahahahaaa....wee jamaa acha hizo kareti zinaweza kucheza na nguvu ya vitofa....huyo muhuni tu mwalimu wa kareti hawezi kuwa mjinga hivyo.
Yap! Tena mwalimu wa Karate anakuwa na nidhamu ya hali ya juu, huyo ni muhuni tu hata huo mchezo wenyewe hajapitia, naweza sema kaangalia zile Movie za jack chan ndo akawa anafanya majiribio, binafsi nimecheza Kombat,wakati naanza nilikuwa napenda ugomvi lakini jinsi nilivyokuwa nazoea nikawa naanza kuogopa ugomvi ikafikia kipindi mtu ananitukana mimi nacheka tu kwa kumdharau, lakini mwanzo mtu alikuwa akiongea vijimaneno kidogo tu namwambia, "tupigane basi". Lakini sasa hivi nimekuwa mmoja wa watu wastaarabu sana, ila USINIJARIBU
 
Kuna best angu kaenda dar bhana anaogopa kuagiza ugali, teh eti meza zote watu wanapiga viepe.
Cc: naan ngik-kundie
 
Tatizo Buguruni Masaki kule Obey Askari wana Patrol usiku mzima huku Uswahilin kwenye maeneo Korofi hawaji mpaka wasikie CHADEMA wanataka kuandamana mutawasema Wanaume wa Dar kila siku halafu Dar tuna ndugu zetu jamani sasa mbona munawasema hivo
Mkuu em jenga pcha unashuhudia mtu anapofuliwa mbele yako na uwezo WA kumsaidia unao..dah hii n hatari sas
 
Kwahiyo mnakubali kuwa mwanaume mmoja anadindishia wanaume wa mtaa mzima? wanaume zaidi ya mia mnahanya mbele ya chalii mmoja kisa anapiga taikondo? Pambafu kabisa, au kwakuwa dar hakuna mawe kwa street ni mchanga tu?
Hahahaha pambav uyuuu na utetez wake mwepes
 
Wanaume WA Dar wanapoanza kujitetea sasa.Ivi ile nyimbo ulomshirikisha bob junior mshaifanyia videos.Naskia kwny kichupa icho mmekata viuno sio kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…