Wanaume wa dar,mnavyo jiremba na kujipodoa huwa mnamtega nani?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Wanaume wa dar hivi mnavyo jiremba na kujipodoa kama dada zenu lengo lenu huwa ni kumtega nani?maana sisi wa mikoani tunawashangaa mapicha yenu mnayosambaza kwenye social media mmejiremba na kujipodoa kushinda hata dada zenu mbaka mnatuchanganya wa mikoani tunaanza kuwafata inbox tukijua watoto wa kike kumbe tunatongoza wanaume wenzetu acheni hizo tabia za ajabu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38] Hao ni walewaleeeee.........akina Aunti........
 
Mungu Bariki kizazi changu uniepushe na hii laana
 
hee! Kwani hiyo picha ya pili kutoka chini ni wanaume hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…