Wanaume wa Dar na Bashite

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
*Wanaume wa Dar es Salaam ni waoga sana yaani wameshindwa kumuhoji BASHITE mpaka amehojiwa na wanaume wa Mwanza*
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji85]
 
Wa Mwanza waoga zaidi wameshindwa kujitokeza waliosoma naye kuanzia la kwanza mpaka la kumi na mbili.
 
*Wanaume wa Dar es Salaam ni waoga sana yaani wameshindwa kumuhoji BASHITE mpaka amehojiwa na wanaume wa Mwanza*
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji85]
Mwehhh[emoji33][emoji33][emoji33]!!!Mwanza napo kuna wanaume!¡!¡!
 
Wanaume wa MZ mabashita sana. Wanashindwa kutofautisha kati ya Bashite na Makonda.....[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…