Wanaume wa dar naomba mnisaidie

Wanaume wa dar naomba mnisaidie

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Polen na kaz wapendwa

Ingawa nimezoea kuwa nawazodoa na kuwatupia madongo ya hapa na pale lakin leo naomba mnisaidie iv karume mitumban baloo huwa wanafungua siku gan na ipi kuna dogo nataka awe anakuja kuchukua mzigo wa surual za mtumba huko

Nisaidien ndugu zangu sisi watanzania wote ni ndugu

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeshikika leo!
Karume wapo kila siku ispokuwa j pili na j mosi Huwa wanapunguwa kwenye kufungua kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nguo za wakubwa wanaanzia 12-4 asbh... za watt 4-... daily
 
Mwambie awe anawahi j3 mpk ijumaa saa 12 asbh yupo pale
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Polen na kaz wapendwa

Ingawa nimezoea kuwa nawazodoa na kuwatupia madongo ya hapa na pale lakin leo naomba mnisaidie iv karume mitumban baloo huwa wanafungua siku gan na ipi kuna dogo nataka awe anakuja kuchukua mzigo wa surual za mtumba huko

Nisaidien ndugu zangu sisi watanzania wote ni ndugu

LONDON BABY

Watanzania wote ni ndugu!!........wanaume wa Dar saidieni please![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Back
Top Bottom