[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeshikika leo!Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Polen na kaz wapendwa
Ingawa nimezoea kuwa nawazodoa na kuwatupia madongo ya hapa na pale lakin leo naomba mnisaidie iv karume mitumban baloo huwa wanafungua siku gan na ipi kuna dogo nataka awe anakuja kuchukua mzigo wa surual za mtumba huko
Nisaidien ndugu zangu sisi watanzania wote ni ndugu
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Oky asante sana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeshikika leo!
Karume wapo kila siku ispokuwa j pili na j mosi Huwa wanapunguwa kwenye kufungua kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anatokea mwanza nazan atafika saa mbili hivMwambie awe anawahi j3 mpk ijumaa saa 12 asbh yupo pale
Kwahiyo za wakubwa saa saba hiv hawez patanguo za wakubwa wanaanzia 12-4 asbh... za watt 4-... daily
Oky sawa mbiti yaza au na wewe ndo unafanya biashara hiyo ili nimuunganishezile nzur zinakuwa asbh sana!atapata
Oky sawa mbiti yaza au na wewe ndo unafanya biashara hiyo ili nimuunganishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Polen na kaz wapendwa
Ingawa nimezoea kuwa nawazodoa na kuwatupia madongo ya hapa na pale lakin leo naomba mnisaidie iv karume mitumban baloo huwa wanafungua siku gan na ipi kuna dogo nataka awe anakuja kuchukua mzigo wa surual za mtumba huko
Nisaidien ndugu zangu sisi watanzania wote ni ndugu
LONDON BABY
uko wap mkuu.........hapana sipo hata huko dar ila najua