Wanaume wa Dar ni kina nani?

We nenda bar ukiona wanaume wamejaza meza Serengeti Lite na Castle Lite hao ndio wanaume wa Dar[emoji23]
 
Sio masihara tukienda kijijini jamaa wanatuogopa kishenzi, alafu wanaona wamjini maisha tushayapatia kinomaaa.
wanakua wadogooo-
Hahaha...unajidanganya coz wanakushangaa kwa sababu unakuwa huna tofauti na ........mbugani
 
Mwanamme wa Dar ni mwanamme yeyote goigoi, mwoga wa kila kitu ila mwepesi kuongea na kukashifu au kukemea mtandaoni, anajifanya anapenda sana wanawake ila hajuwi kucheza nao kitandani akimaliza anakwenda kujisifia kijiweni kalala na demu fulani na kamkomesha kumbe kapiga kimoja tu kisha kulala hoi hajitambui, kujifany anajuwa kumbe ziro brain, kupenda sana leva n kujifanya mtu wa matawi kisa eti bongo fleva, kusuka na kuva hereni kushindana na dada, Mama, mademu wao, kuvuaa visuruali vya kubana pumbu ili akiongea awe anabana pua, kujifanya mwanamme kumbe anashikishwa ukuta na wenzake kitaa, kujifanya mtu wa matawi wakati anaishi Kimara, Mbezi ya Morogoro Road, Kwa Mtogole, Madale, Mbagala, Keko, Buguruni.
 
Wale chips yai tandika to chan'gombe wanapanda magari wanapenda instagram wakitaka kukaba mpaka wawe kumi kula ugali kwao ni adhabu
 
Wanaogopa kumpigia mwizi kelele, kutembea kwao mwisho saa 3 usiku, wanaogopa hata sisimizi, wanapenda booster kama vile supu ya pweza na karanga + mihogo mibichi na nazi, wepesi kuchukia, n.k n.k n.k

Sifa nyingne ni kama ulizotaja mkuu.

Zipo lukuki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…