Wanaume Wa Dar Njooni Tujadili Haya Mashambulizi Kutoka Mikoani

Hii ligi haiwezi isha mpaka Yesu anarudi kwa awamu ya pili maana alie kijijini anamnanga alie mjini huku akitamani afike Das lam, hawajamaa wa mikoani kwa kifupi Das lam ndo New York City yao hahaha, niliwahi fanyaga kazi jamii fulani mkoa wa karibu na mipakani jamaa wakawa wanasema kiswahili changu cha tofauti yani kina tiririka tu hahahaha mikoani bwana...
 
Na sasa wana mpango wa kupiga vodole vya kwenye kinyeleo wanaume wa dar hapo ndo masoga mengi yatagundulika
 
Wanaume wa dar wakiitana kukaa kitako hahah
 
Maelezo yako yenyewe yanaonyesha ulivyo laiiiiiiini[emoji38][emoji28]
 
Wanaume wa mikoani mbona tupo wengi tu huku dar, dona kama kawa, wanawake zetu tunawaridhisha kitandani, kazi ngumu tunapiga, naishi dar ila pia najishughulisha na kilimo kule chanika na ufugaji sehemu nyingine inayoitwa misugusugu ipo pembezoni mwa moro road mbele ya kongowe, kama bado na mm mnanihesabia kuwa wa dar na mkanikataa msisahau kuwa "jasiri haachi asili"
Mwakaleli Rungwe,mbeya kwangu nyumbani. Ninaishi dar napiga kazi dar ila Mwakaleli ndio nyumbani.
 
ila kitu kingine, wapo pia wanaume wa mikoani wasioweza kuwaridhisha wanawake/wake zao, kama mnabisha basi nyie sio wa mikoani, nimewahi kuishi dom, iringa, na njombe kabla ya kuja huku dar, kama hamuamini basi ni tatizo lenu tu kama sio kutafuta kiki ndugu zangu wa mikoani. Hata kama dar wanaitwa wanaume wa dar, mm nilipata opportunity huku kwann niipotezee kisa tu mm mwanaume wa mikoani?, je mnafanya sawa kunihesabia kuwa mmojawapo wa wanaume wa dar wakati mm wa mikoani na huku dar nimefuata fursa tu?.
 
Wavulana wa dar siwaelewi hapo naona umeandika michambo tuu.. Embu tumia nguvu kuandika kaza maneno labda wanaume wa mikoani tutakuelewa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…