Wanaume wa dar tukutane hapa

edwayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
8,919
Reaction score
9,797
Kama kawa sisi ndo tunanunua mazao ya wapagazi wetu walioko mashambani na korosho tumewagomea sasa nyie Si vidume haya mzivundike...
Tujipongeze wanaume wa dar
 
Eti naomba kuuliza..eti kwa nini wanaume wa Dar mnapenda kula vitu laini na pia mnapaka poda,make up, kutinda nyusi pia kuoshwa kucha na pia kupumliwa kisogoni?
 
Kama kawa sisi ndo tunanunua mazao ya wapagazi wetu walioko mashambani na korosho tumewagomea sasa nyie Si vidume haya mzivundike...
Tujipongeze wanaume wa dar

wanaume wa dar bongo move imezidi mkifanya kitu kikibuma mnaanza kulia ova binti anatolewa bikr##
 
Eti naomba kuuliza..eti kwa nini wanaume wa Dar mnapenda kula vitu laini na pia mnapaka poda,make up, kutinda nyusi pia kuoshwa kucha na pia kupumliwa kisogoni?
Watu wamkoani wote mnatamanj raha za dar
 
Wanaume wa Dar ni watu laini sana, imagine dume zima linaita chips mayai 'Zege' kitu kilaini kabisa je makande mnayaitaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…