Wanaume wa Dar wameamua kuja na hii

Al-Hadidy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
1,411
Reaction score
3,077
SWALI....
Zamani wadada walikuwa wakikojoa, mkojo unachimba kishimo, lakini siku hizi wakikojoa mkojo unasambaa, sijui tatizo ni nini?

JIBU
Tuanze kwa kusema Fizikia ama Hisabati hazidanganyi.
Fizikia inajibu hili swali vizuri Sana. Tuanzie hapa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Pressure is defined as Force per unit area. (P = F/A) It is usually more convenient to use pressure rather than force to describe the influences upon fluid behavior. The standard unit for pressure is the Pascal, which is a Newton per square meter (N/m2)

Kwa hiyo ni kwamba, Eneo likiwa dogo Presha inakuwa kubwa Sana, na Eneo likiwa kubwa, presha inakuwa ndogo Sana... (yaani kama vile denominator 1/580 katika mafao ilivyo kubwa na namna inavyowaumiza Wastaafu)
Kwa hiyo tuhitimishe kwa kusema kuwa, Fizikia na Hiasabati hazidanganyi. Kwa hiyo wadada saizi mkojo wao hauwezi kuchimba shimo kwa sababu MATUNDU yao yametanuka Sana Sana yaani... Yaani ni makubwa mno mno...
Na ili kujifafiji wadada wamekuja na kamsemo ka KIBAMIA, Kumbe hamna kitu.. Ni kutanuka kwa matundu yao.... (Rejea Use and Disuse theory)

N.B: Tuliosoma PCM, PGM, PCB hivi vitu havitusumbui kabisa yaani.
 
Pamoja na sifa zote hizo na physics na hesabu juu ila bado ukitaka kukojoa tundu hilohilo ndo linakusitiri......

Zamani walikuwa wanasema sio kisa lake ni kosa la kungwi wake....

Polee, umesamehewa buree.
 
Njia ya uke(vagina) na njia ya mkojo(urethra) kwa mwanamke kila kimoja kinajitegemea.

Urethra ya mwanamke ni tundu dogo sana lipo kwa juu halfu kwa chini ndo shimo la uke. Sasa huo ukubwa unaousema ni evolution au umesababishwa na nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudadeki
 
Njia ya uke(vagina) na njia ya mkojo(urethra) kwa mwanamke kila kimoja kinajitegemea.

Urethra ya mwanamke ni tundu dogo sana lipo kwa juu halfu kwa chini ndo shimo la uke. Sasa huo ukubwa unaousema ni evolution au umesababishwa na nini?
akikujibu nitag au huwa wanaingiziwa dushe kwenye urethra?? mtoa mada njoo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…