Wanaume wa Dar wameamua kuja na hii

Njia ya uke(vagina) na njia ya mkojo(urethra) kwa mwanamke kila kimoja kinajitegemea.

Urethra ya mwanamke ni tundu dogo sana lipo kwa juu halfu kwa chini ndo shimo la uke. Sasa huo ukubwa unaousema ni evolution au umesababishwa na nini?
Uko sahihi genius wetu...
 
Neno WADADA laweza likajumuisha dada zako,mashangazi,mama wadogo na wakubwa,mama yako mzazi,mabinamu,na wadada wote katika maisha yako unaowaheshimu.Mara zote unapowaza kuandika baya la wadada kuwa specific ni wadada wapi unaowazungumzia usiwajumuishe.
 
Zamani hata haja kubwa walikuwa wanachimba mashimo siku hizi ni kusambaa.
hahahahahah!
kudadeki walahi!!
 
Urethra njia ya mkoja
Vagina uke
Ni vitu viwili tofauti. Urethra inatanuka kama ambavyo kiungo chochote kinavyokuwa. Haiwezi kubaki size ile ile uliozaliwa nayo.
Hata wanaume tulivyokuwa wadogo mkojo ulikuwa unaruka mbalimbali sana, sasa hivi tumezeeka inabidi ukikaribie Choo na kui-support dushe ulenge vizuri.
 
Hahahahahahahahaha
 
Sure Mzee baba bila support unakuta mkoja unadondokea karibu na miguu
 
Wadada kama nawaona wanavyosonya na kutukana kimyakimya......ukweli mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…