Wanaume wa Dar

Kuna raha kusoma jf ukiwa huko stareheni
 
kumbe ndo maana majibu mengine humu hufanana na hilo tendo.
 
Huyu hamjaelewa ana wasiwasi huenda mama amebaki anasoma msg
 
Haha aisee mtoa Thread huna ndugu Dar au Rafiki maana Muna waandama wakat hao hao ndo wanawapa hela mpaka za wake ma watoto wenu ada na hela za uniform????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…