Akikutongoza ukimkubali siku hiyohiyo anakuona maharage ya mbeya (malaya) wakati akikitongoza ukimzungusha mwezi mzima anakuona una roho mbaya anatafuta mwingine.
Ukiwa mkimya hata akikufokea humjibu anakuona jeuri na una gubu wakati ukiwa mlalamikaji na unajibu kwa hoja(tena zenye kumfanya aonekane pointless) hapo utaonekana unampanda kichwani na anaweza akakushushia kipondo heavy
Katika kugegedana ukimuonyesha miuno feni mautundu mia mia kwa bed anakuona umekubuhu meter imesoma sana hufai kuwa wife wakati ukijifanya gogo kitandani hapo mtaa mzima utajua kwamba huna lolote uzuri wa nje tu ndani empty.
Ukitulia kwake huna mchepuko wala mafiga matatu anakuona we mbaya akutake nani? Wakati ukiamua sasa kuwa na michepuko anakuona malaya na anaweza akakuua kwa wivu.
Ukiwa unagombana na michepuko yake anakuona wewe sio wife material huwez kuvumilia mikiki ya ndoa wakati ukiwa unapotezea ukigundua ana michepuko anajua kama humpendi kuna jamaa anakukaza ndomana huna wivu.
Hebu ongezea yako nawewe