Wanaume wa hivi wapo tanzania?

Wanaume wa hivi wapo tanzania?

Halafu hawa jamaa Wanawake wao wanajituma sana, tofauti na Wanaume wanakuwa wauza sura kuwategemea Wanawake kwa kila kitu
 
Hao jamaa hua some sort of matahirasi, acha waendelee kucheza boringo na kusuka dada zetu saluni.
 
Bora sisi wanaume wa Dasalamu na six pack zetu. Kuliko hawa mbululaz viatu bei yake unanunua kiwanja. Wanaume wa mikoani na wa Kongo watakuwa na udugu flani[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kwa nini umeandika tanzania badala ya Tanzania?
 
Mwanaume wa kicongo yupo radhi alale chini ila anunue masuit ya gharama viatu akitoka nje aonekane smart ila nenda anapolala utajuta
 
Back
Top Bottom