Jina la chuo tafadhali.Una degree ya kujitetea.
Kinondoni mmejaa mateja wa wanaume wanaojichubua sura afu unasema mmekaa kama wa Mkoa? DahWakuu kuna hili suala la wanaume wa dar naona limeshika kasi sana, kwanza ifahamike kuwa dar ni kubwa na si vizuri kutuhukumu wanaume wote wa jiji hili maarufu Afrika mashariki na kati. Lengo la mada ni kuwajuza kuwa wanaume wengi mnaowa-refer kama wanaume wa DAR ni wanaume kutoka wilaya ya ILALA! Hivo bas ingependeza kama jina ILALA lingetumika badala ya DAR sababu kino na temeke tunaishi ki-mkoani mkoani na hizo tabia mnazotupa hatunazo
Teh teh teh teh!Kinondoni mmejaa mateja wa wanaume wanaojichubua sura afu unasema mmekaa kama wa Mkoa? Dah
duuh...Kinondoni mmejaa mateja wa wanaume wanaojichubua sura afu unasema mmekaa kama wa Mkoa? Dah
Wakuu kuna hili suala la wanaume wa dar naona limeshika kasi sana, kwanza ifahamike kuwa dar ni kubwa na si vizuri kutuhukumu wanaume wote wa jiji hili maarufu Afrika mashariki na kati. Lengo la mada ni kuwajuza kuwa wanaume wengi mnaowa-refer kama wanaume wa DAR ni wanaume kutoka wilaya ya ILALA! Hivo bas ingependeza kama jina ILALA lingetumika badala ya DAR sababu kino na temeke tunaishi ki-mkoani mkoani na hizo tabia mnazotupa hatunazo
Kinondoni mmejaa mateja wa wanaume wanaojichubua sura afu unasema mmekaa kama wa Mkoa? Dah
Zikitoka wilaya inakuja mitaa sasa..!Wanaume wa Ilala na Kinondoni ndio wanao fake maisha ila wa Temeke hatuko hivyp
Hahahahahaha [emoji23]Kampala university
FacultyKampala university
Mimi sijutii kuitwa mwanaume wa dar.Mnaanza kukataana. Teh teh
Safi sana mwana,,,sema wanakubali kiainaMimi sijutii kuitwa mwanaume wa dar.