Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Shunie kwa mara ya kwanza leo nakuja pm yako ... Sijui niongee nini siasa ... Mpira ... Mapenzi ... Pesa ....

Clubz ... .masomo .....neno la mungu ..chagua dada nakuja leo
Chochote kile piga nae
 
Jf weng wana magari,nyumba nzri,pesa mingi,wazuri wao eeeeeehn huk kutamu ukishaelewa unaenda vile unavyotaka

Sio wote wanajitambua katika akili wengne makubwa jinga kuwa makini
Makubwa jinga kweli
 
Watu mmekutana PM mkapeana namba za simu,mkatongozana,mkapanga hadi kugegedana mkaenda mpaka mitoko mkavuliana vyupi mwenye kibamia sawa na mwenye bwawa sawa sasa kutangazana ndio nin ukiona mwanaume wa aina hyo si riziki na mwanamke wa namna hyo ujue huyo ni Mchelemchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…