Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Kibaya zaidi, ushavuta hisia zako sauti na sura take unamfananisha na MTU wa mbele huko
Unajipodoooa mwenyewe ili ufanane na yule dem muigizaji wa kibrazil,kufika tu unakata tamaa kama vile kitunguumaji kikiwa juani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini pia kukaa sana kijiweni matokeo yake unaanza kukosana na washkaji. Hiki kimeshakuwa kijiwe, kadri unavyotumia mda wako mwingi humu unakutana na watu wa kila namna.

Tumia akili yako kuishi nao, spend your time wisely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…