Nimemmissimo kweli jamani, kitambo sijamuona humu.Hahahhaha aje jamani
Nikajua mdudu unataka kulaKuanza lini nn tena si vinywaji naagiza
Ni ushamba.Ni upuuzi wa hali ya juu!basi tu hawajui
Thank uu!spend ur time wisely!!Lakini pia kukaa sana kijiweni matokeo yake unaanza kukosana na washkaji. Hiki kimeshakuwa kijiwe, kadri unavyotumia mda wako mwingi humu unakutana na watu wa kila namna.
Tumia akili yako kuishi nao, spend your time wisely.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mungu anakuona.Pambana na umbea wakooo
Itaongezeka 'kwerikweri'Pm iko wazi ila increment najua hazimo mpk bwana stone Stoke 2025
Unaguna nini mama?Mmhhh
Kabla ya yote naomba movie nzuri za katoto kangu ka miezi Tisa mama mkweNinachoomba tujifunze kama binadamu kufilter nini cha kuongea na wapi. Kwa mfano mmetoka na mtu humu iwe dinner au club au wapi yanayotendeka yaishie humo. Sio jambo baya hata kujuana na member wote humu ila ukionana nao yaishie huko mlichoongea mlichofanya au chochote kile. Kubeba kitu ukakirudisha kwa mtu ambae mlimuongelea sio fresh ni kaunafki fulani.
Kuna watu wanaandika vizuri sana kwenye majukwaa ila hawana siri kwa wanaokutana nao nje ya jukwaa. Hata kama mmekutana kituoni atamtafuta member mwingine huku amwambie jana nilikua na mzigua kituoni morocco ikawa hiki ikawa kile. Hiyo sio poa maana hao wanaoambiwa nao wanarudisha tena. Watu wazima sisi tutendee haki miaka yetu kwa vitendo kwenye majukwaa pm na mtaani ikitokea. Mnatuaminisha na miandiko ya adabu mtu unajua amepata rafiki kumbe mtu mmbea bwana
Umeongea vzr sanaa sana!haihusu Mimi na wewe kujuana au kuonana ukaanza kumhadithia Don au shunie!!!Ninachoomba tujifunze kama binadamu kufilter nini cha kuongea na wapi. Kwa mfano mmetoka na mtu humu iwe dinner au club au wapi yanayotendeka yaishie humo. Sio jambo baya hata kujuana na member wote humu ila ukionana nao yaishie huko mlichoongea mlichofanya au chochote kile. Kubeba kitu ukakirudisha kwa mtu ambae mlimuongelea sio fresh ni kaunafki fulani.
Kuna watu wanaandika vizuri sana kwenye majukwaa ila hawana siri kwa wanaokutana nao nje ya jukwaa. Hata kama mmekutana kituoni atamtafuta member mwingine huku amwambie jana nilikua na mzigua kituoni morocco ikawa hiki ikawa kile. Hiyo sio poa maana hao wanaoambiwa nao wanarudisha tena. Watu wazima sisi tutendee haki miaka yetu kwa vitendo kwenye majukwaa pm na mtaani ikitokea. Mnatuaminisha na miandiko ya adabu mtu unajua amepata rafiki kumbe mtu mmbea bwana
Mchumba, umekunywa nini leo?Ninachoomba tujifunze kama binadamu kufilter nini cha kuongea na wapi. Kwa mfano mmetoka na mtu humu iwe dinner au club au wapi yanayotendeka yaishie humo. Sio jambo baya hata kujuana na member wote humu ila ukionana nao yaishie huko mlichoongea mlichofanya au chochote kile. Kubeba kitu ukakirudisha kwa mtu ambae mlimuongelea sio fresh ni kaunafki fulani.