Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aweke tu kwani sh ngapi
Ngoja aweke picha yako umekaa kwenye majani vidole viwili juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu humu Jf wana makundi au team sasa hapo ukifahamiaba na mmoja ni sawa na kufahamiana ns kundi zima maana A atampasie B zen mwisho wa siku hadi Z itamfikia
Nakaziaa
 
yaani tunawaweka kwenye list mkiwa loose loose tunawarecommend sehemu tunawakamata jolie jolie akilegeza kamba tu unawekwa sehemu we si unaona full package mlivyowachache humu
Ndio ndio recommendations kwa jj zilifanywa na kubwa la maadui Shunie na mkali wao Demiss kazi ikawa rahisi sana

Ndio maana nawakubali sana hawa mashemela vigogo kabisaa[emoji23] [emoji23]
 
Duh! Sijawahi kuwaza kumtafuta mtu PM wala sinaga hisia hizo pili nilikuwa sijui kuitumia mpaka nilipo fundishwa na mmoja fulani na toka yule dada anifundishe sijawahi pata sms huko wa kutuma sasa sijui ni ubize wa kazi yangu au sina ulimbukeni wa Wadada wa mitandao Sijui.
 
Nakazia hapa.
Kwa hiyo huyo mtu ana jifanya ana heshima ili apate picha za watu eti??
Hahahahahahahha basi zipate utulie, bado unawashwa Nazo .
Mie watu wenye heshima siwataki tena bora HR666
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…