Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hata km nimeiona sijakuambia km nimeiona langu rohoni
aiseeee nimependa ulivyowahi kumjibia
 

KUMBE...?
 
Kuna mtu anaitwa Anitha Baby nashindwa kukutumia taarifa yako kadri inavyositahili kwani pm yako mimi naambiwa I haven't permision so nahisi inaruhusu wewe kutuma ila siyo kutumiwa.
Kama utapita hapa Anitha Baby soma taarifa hii inakuhusu.
Ni mimi mla panya swanga.
 
Mkiisha kosa PM mpya basi ndo mnaanza kujifanya hamtaki?? Poleni mnaoji kick wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…