Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Mnitumie na mimi niwaone angalau kusafisha macho...hata simfahamu yeyote.
 
nimepitia posts nyingi za mlalamikaji inaonyesha kuna kisasi hapa.
kuna mahali amesema kuwa ametoa dukuduku la siku nyingi, sijui anayetajwa naye akifungua kinywa kama kutakalika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…