Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Sasa pm nitazitoaje... mfano kwenye uzi siunaona wamegoma kuja ningeanza kupractice hiyo njia yako hapa hapa...

Waite basi
watakuja usijali me sielewi kila siku watu wanatafuta wachumba lakini sioni mkiwatongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…