Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Mzee baba punguza kula piza zitakuharibu akili....
Yani 'HISA`NA MIBA'
umemsahau?
[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo tupo pamoja...

Wewe tatizo files kichwani ni forex hadi kunielewesha hautaki.

Forex ipoje lakini? Naona huko daily unadie kuifanikisha mazee.
 
Sijawahi kuona wanawake wanaodeka kama hawa wa kwetu hapa.

Hapa ndiyo wamegoma. Nilienda FB kwa week tu watoto hawana shida... hawa wa kwetu sasa! !

Wadada njooni tutete uzi huu hautii mimba.
Kaka masai nimecheka sana lol.
 
Ha ha ha ha ha mie naona the more we spend time with them wanatuona vipusa wao kumbe tuna mioyo na tunapenda kwel kwel...
Ila ujumbe umefika kuna mmoja ngoja nmuendee pm sa hv nikaanze sound
 
Ha ha ha ha ha mie naona the more we spend time with them wanatuona vipusa wao kumbe tuna mioyo na tunapenda kwel kwel...
Ila ujumbe umefika kuna mmoja ngoja nmuendee pm sa hv nikaanze sound
Na wengine mioyo yetu ishapondeka kweli hata ukikuta sehemu unayempenda kacomment pumba unalike tu.

Cc emmyta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…